Tag Archives: Kagera

Kijana amuuwa mama yake akimtetea Baba yake mngonjwa.

Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamsaka kijana mmoja aitwaye Justine Joseph kwa tuhuma za kumpiga na kumuua mama yake mzazi, Theopista Joseph (72) mkazi wa kijiji cha Omukangando wilayani Kyerwa. Kijana Joseph amefanya mauaji hayo baada ya kumtuhumu mama yake kulewa kupita kiasi na kushindwa kumhudumia baba yake mzazi ambaye …

Read More »

Baba amuua mwanae wa miaka miwili kwa kumchoma na moto

Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Juma Daniel, mkazi wa Kijiji cha Kazingati kata ya Keza wilayani Ngara, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kumzaa, mwenye umri wa miaka miwili. Daniel anadaiwa kumuuwa mwanaye huyo kwa kumchoma moto usoni na makalioni na kumjeruhi kwa kitu chenye ncha kali sehemu …

Read More »