Tag Archives: kabwe

Zitto Kabwe Akana Kufanya Mazungumzo Yoyote na Sumaye

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hawajafanya mazungumzo yoyote na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ambaye leo mchana Jumatano Desemba 4, 2019 ametangaza kuwa si mwanachama wa Chadema. Zitto ametoa maelezo hayo saa chache baada ya Sumaye kumaliza kuzungumza na waandishi wa habari na kueleza sababu za kujiondoa …

Read More »