Tag Archives: Jumla ya majeneza 27 yaliozikwa zaidi ya miaka 2500 yamefukuliwa na wanakiolojia katika makaburi ya zamani nchini Misri.

Jumla ya majeneza 27 yaliozikwa zaidi ya miaka 2500 yamefukuliwa na wanakiolojia katika makaburi ya zamani nchini Misri. Majeneza hayo yalipatikana katika kisima kipya kilichogunduliwa katika eneo moja takatifu lililopo huko Saqqara , kusini mwa mji mkuu wa Cairo. Majeneza 13 yaligunduliwa mapema mwezi huu , lakini mengine 14 zaidi …

Read More »