Tag Archives: JUKWAA LA WANAWAKE NA VIONGOZI WA KISASA WALAANI BAADHI YA WANASIASA KUTUMIA LUGHA YA VITISHO VYENYE VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI

JUKWAA LA WANAWAKE NA VIONGOZI WA KISASA WALAANI BAADHI YA WANASIASA KUTUMIA LUGHA YA VITISHO VYENYE VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI

Jukwaa la Wanawake na wanasiasa nchini (TWCP/ULINGO) wamelaani tabia za baadhi ya wanasiasa kutumia lugha za vitisho, uvunjifu wa amani na utulivu, katika kipindi cha nngwe ya mwisho ya kampeni za kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Aidha wameshauri kuchukuliwa hatua kwa baadhi ya vyama vya siasa vinavyofanya siasa za …

Read More »