Tag Archives: JONATHAN SHANA

TANZIA:Kamanda Jonathan Shana Afariki dunia.

Ni taarifa za msiba wa Jonathan Shana asubuhi hii kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es salaam ambazo zimethibitishwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Hospitalini hapo Aminiel Aligaesha. Aminieli amesema ni kweli Jonathan Shana ambaye aliwahi kuwa Kamanda wa Polisi Arusha amefariki usiku wa kuamkia leo Sept. 16 2020 …

Read More »