Tag Archives: Job Ndugai Achaguliwa Kuwa Spika wa Bunge juu

Job Ndugai Achaguliwa Kuwa Spika wa Bunge juu

Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uchaguzi wa Spika, umefanyika leo Jumanne tarehe 10 Novemba 2020 bungeni jijini Dodoma katika Kikao cha kwanza, Mkutano wa kwanza wa Bunge la 12. Mkutano huo wa uchaguzi, umesimamiwa na Mwenyekiti wa muda, William Lukuvi …

Read More »