Tag Archives: JKT

JKT Yatangaza Nafasi Za Kujitolea Kwa Vijana Wa Kitanzania

JESHI la kujenga Taifa {JKT}  limetangaza nafasi za kujiunga na Jeshi hilo  kwa kujitolea kwa vijana wote wa Tanzania Bara na visiwani huku likisisitiza kuwa   halihusiki na kuwatafutia ajira vijana pale wanapomaliza mafunzo hayo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Mkuu wa tawi la utawala   Kanali Julius Kadawi kwa niaba …

Read More »