Tag Archives: Jeshi la Polisi Laendelea Kudhibiti Bandari Bubu Nchini

Jeshi la Polisi Laendelea Kudhibiti Bandari Bubu Nchini

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi nchini limeendelea kuimarisha usalama husasani maeneo ya bandari bubu ambazo zimekuwa zikitumika kuingiza bidhaa za magendo na wahamiaji haramu na kukwepa ushuru wa serikali. IGP Sirro amesema hayo leo wakati alipofanya ziara ya ukaguzi mkoani Pwani ambapo …

Read More »