Tag Archives: jela kwa kuua bila kukusudia

Jela Miaka 15 Kwa Kumuua Ndugu Yake Bila Kukusudia

Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Kigoma imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Kajana, Wilaya ya Buhigwe, Doto Simoni (21), kifungo cha miaka 15 jela baada ya kukiri kumuua bila kukusudia ndugu yake Manase Ezekieli kwa kumpiga na mti usoni na kufariki dunia papo hapo. Hukumu hiyo ilitolewa na Jaji wa Mahakama …

Read More »