Tag Archives: Jamii yatakiwa kutibu maji kwa matumizi ya nyumbani

Jamii yatakiwa kutibu maji kwa matumizi ya nyumbani

JAMII imetakiwa kipindi hiki cha masika ya mvua zinazoendelaea kunyesha kutibu maji kwa kutumia dawa zilizodhibitishwa na wizara ya Afya ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko. Ushauri huu umetolewa na Afisa Afya na mratibu wa uelimishaji Afya wa halmashauri ya mji wa Tarime,Agrey Hyera wakati akiongea na waandishi wa Habari …

Read More »