Tag Archives: jambazi

Jambazi Sugu Afariki Akijaribu Kuwatoroka Polisi.

Mtuhumiwa anayedaiwa kuiba kwa kutumia dawa ya usingizi anayopulizia watu usiku na kuingia ndani mwao, amepoteza maisha baada ya kuruka katika gari la polisi. Akizungumza na wanahabari jana, Kamanda wa Polisi wa Tarime/Rorya, Henry Mwaibaimbe, alimtaja marehemu ni Boniface John (24) aliyekuwa mkazi wa mtaa wa Bimbwi mjini Tarime. Alisema …

Read More »