Tag Archives: Jaji mkuu: Tumieni usuluhishi kumaliza mashauri

Jaji mkuu: Tumieni usuluhishi kumaliza mashauri

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka Majaji na Mahakimu nchini kuongeza matumizi ya njia ya usuluhishi katika kusikiliza na kumaliza mashauri hususan mashauri yanayohusu Mirathi. Akizungumza na watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Manyoni mkoani Singida katika siku yake ya kwanza ya ziara ya kikazi mkoani …

Read More »