Tag Archives: Jaji Mahakama Kuu awaagiza Wanasheria kuelekea uchaguzi

Jaji Mahakama Kuu awaagiza Wanasheria kuelekea uchaguzi

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dkt. Benhajj Shaaban Masoud amewataka Wasaidizi wa Sheria wa Majaji wa Mahakama ya Rufaa kutumia vyema elimu ya uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi ili kuleta mabadiliko chanya kwenye Sekta ya Sheria na Haki. Wakati akifunga Mafunzo yaliyofanyika Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto, Jaji …

Read More »