Tag Archives: Jafo

Jafo Akerwa Na Utendaji Kazi Wa Watumishi Manispaa Ya Shinyanga

Waziri wa nchi ofisi ya Rais,Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Seleman Jafo amemwagiza katibu Mkuu wake TAMISEMI kuwahamisha vituo vya kazi Maafisa wawili wa Manispaa ya Shinyanga baada ya kubainika kufanya kazi kwa makundi hali ambayo inaweza kukwamisha shughuli za Umma. Waziri Jafo amewataja maafisa hao kuwa …

Read More »