Tag Archives: italy

Dunia yakumbuka miaka 75 kukombolewa kambi ya Auschwitz

Wazee wa Kiyahudi kutoka Israel, Marekani, Australia, Peru, Urusi na Slovania, wengi wao wakiwa wale waliopoteza wazazi na ndugu kwenye kambi hiyo na nyenginezo zilizoendeshwa na Wanazi, wanasindikizwa leo na watoto na wajukuu na hata vitukuu vyao kwenye kambi ya mauti ya Auschwitz-Birkenau, eneo ambalo miaka 75 iliyopita lilikuwa alama …

Read More »