Tag Archives: Istiqaama

Waislamu wa Ki-Ibadhi Kahama Kwa Kushirikiana na Jumuiya ya Kiislamu ya Istiqaama ya nchini Oman watoa msaada kwa wagonjwa.

Mashirika yasiyo ya kiserikali,Taasisi na Watu binafsi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameombwa kujitokeza kuwasaidia wagonjwa wasiojiweza mahospitalini kwani baadhi yao hawana ndugu wakuweza kuwasaidia. Wito huo umetolewa leo na Mwenyekiti wa Masjid Al-wahabu Mohamed Issa Hilaly Al-Habsy wakati akikabidhi msaada kwa niaba ya jumuiya ya Internatioanl istiqumaa Muslim Community¬† ya …

Read More »