Tag Archives: iraq

Iraq yataka wanajeshi wa Marekani waondoke nchini humo

Huku mvutano baina ya Marekani na Iran ukizidi kupamba moto bunge la nchini Iraq hapo siku ya Jumapili¬†lilipiga kura ya kuwaondoa wanajeshi wa Marekani kutoka Iraq. Katika kikao kisicho cha kawaida wabunge waliridhia azimio la kuitaka serikali kufuta makubaliano na Marekani kuhusu kuwepo wanajeshi wake wapatao 5,200 nchini Iraq. Azimio …

Read More »

Maelfu ya Wairan wamuaga kamanda Soleimani

Kiongozi wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameongoza maelfu ya watu katika mji mkuu wa Iran, Tehran katika shughuli ya mazishi ya kamanda mwandamizi wa jeshi Qassem Soleimani. Sauti ya Khamenei ilikwama kwa kipindi kifupi kutokana na machungu wakati kiongozi huyo alipokuwa akiongoza shughuli hiyo ya umma huku akishindwa kuzuia machozi. …

Read More »

Marekani kuiwekea vikwazo Iraq

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametishia kuiwekea Iraq vikwazo baada ya bunge la nchi hiyo kupiga kura kupitisha azimio linalovitaka vikosi vya Marekani viondoke nchini humo. Trump amesema iwapo wanajeshi hao wataondoka, Iraq itapaswa kuilipa Marekani gharama za kambi ya jeshi la anga iliyoko Iraq. Trump amebainisha kuwa hawatoondoka hadi …

Read More »