Tag Archives: IRAN

Marekani yakana kumiliki ndege iliyodunguliwa Afghanistan

Awali, maafisa wa eneo hilo walisema kwamba ndege iliyoanguka katika eneo la Deh Yak, jimbo la Ghazni, inamilikiwa na shirika la ndege la serikali la Ariana. Hata hivyo, shirika hilo limekanusha taarifa hii na kuzua maswali kuhusu mmiliki halisi wa ndege hiyo na chanzo cha ajali. Shirika la habari la …

Read More »

Rais wa Uturuki amtaka Khaftar aache matumizi ya nguvu Libya

Rais wa Uturuki Reccep Tayyip Erdogan amesema Khalifa Khaftar lazima akomeshe msimamo wa kutumia nguvu ili kufungua njia ya kufanyika mchakato wa kisiasa. Erdogan ameuambia mkutano wa Berlin kwamba utekelezaji wa hatua nyingine za mchakato wa kisiasa pamoja na suluhisho vinahitaji Haftar kuondoa msimamo wake wa kutumia nguvu. Muda mfupi …

Read More »

Waziri wa Ujerumani aionya Iran

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani, Heiko Maas ameitolea mwito Iran kuacha kuingilia migogoro ya ndani katika ukanda huo. Tamko la waziri Maas amelitowa wakati wa ziara yake nchini Jordan leo Jumatatu. Baada ya kukutana na waziri mwenzake wa Jordan Ayman Safadi, Maas amesema wamekubaliana ikiwa Iran inataka kumaliza …

Read More »

Heiko Maas aionya Iran kuhusu mizozo ya kikanda

Waziri Heiko Maas amesema ni katika maslahi ya kila mmoja kuendeleza mapambano dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS, kama sehemu ya muungano wa kimataifa nchini Iraq, ili kulinda mafanikio yaliofikiwa huko awali. “Ni muhimu kwamba sisi kama washirika wa muungano dhidi ya IS tunaendelea kuwepo nchini Iraq na …

Read More »

Iran yakiri kudungua ndege ya Ukraine ‘kimakosa’

Taarifa ya jeshi inaeleza kuwa mkasa huo umetokana na “makosa ya kibinadamu” baada ndege hiyo kupita karibu na eneo nyeti linalomilikiwa na Kikosi cha Mapinduzi (Revolutionary Guards). Maafisa waliofanya kosa hilo wataadhibiwa, taarifa hiyo imeeleza. Watu wote 176 ndani ya ndege hiyo wamepoteza maisha. Hata hivyo nchi hiyo ilikabwa koo …

Read More »

Marekani na Iran zaashiria kupunguza mvutano

Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa amesema nchi yake iko tayari kuzungumza na Iran bila masharti, katika juhudi za kutuliza mvutano ulioshamiri baada ya Marekani kumuuwa jenerali maarufu wa Iran, Qasem Soleimani. Maelezo ya Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa yamewasilishwa katika barua iliyotumwa jana na …

Read More »