Tag Archives: India yanunua ndege za kivita za Urusi

Wizara ya ulinzi ya India imetia saini jana kununua ndege 33 za kijeshi kutoka Urusi na 59 nyingine kuzifanya za kisasa zaidi zenye thamani ya dola bilioni 2.4, huku kukiwa na ongezeko la hali ya wasi wasi na nchi jirani ya China yenye silaha za kinyuklia. Ununuzi wa ndege chapa …

Read More »