Tag Archives: Hussein Mwinyi na Maalim Seif wapiga kura Zanzibar

Hussein Mwinyi na Maalim Seif wapiga kura Zanzibar

Wagombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi na Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, tayari wamepiga kura hii leo visiwani humo, huku kila mmoja wao akiwaomba wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga kura. “Nawapongeza Wanzanzibar wote ambao wametumia haki yao ya kupiga kura na niwaombe …

Read More »