Tag Archives: HONG KONG

Mamia waandamana Hong Kong wakidai demokrasia

Mamia ya waandamanaji wa Hong Kong wameandamana leo wakitoa kauli za kuunga mkono demokrasia, siku moja baada ya maelfu ya watu kukaidi amri ya polisi ya kufanya kumbukumbu ya ukandamizaji uliofanywa na China katika uwanja wa Tiananmen mwaka 1989. Waandamanaji walishiriki maandamano hayo ya amani katika eneo kuu la kibiashara …

Read More »