Tag Archives: hitimana thierry

Hitimana Thierry aweka pembeni usajili

Kocha mkuu wa Namungo FC Hitimana Thierry amesema ni mapema mno kuanza kuzungumzia mipango ya usajili wa wachezaji ambao watakiongezea nguvu kikosi chake msimu wa 2020/21. Kocha Hitimana amesema suala la usajili ataanza kulipa nafasi baada ya kukamilika kwa msimu huu wa ligi, ambao utaendelea mwishoni mwa juma lijalo. Ligi …

Read More »