Tag Archives: HISTORIA YA NYERERE

HISTORIA YA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE.

BABA wa taifa , Mwalimu Nyerere hayupo nasi tena ,Rabuka muumba amemuita baada ya maisha yake duniani kuanzia alipozaliwa April 13 mwaka 1922 hadi yalipomalizika Oktoba 14 mwaka 1999. Nyerere ambaye wengi hivi sasa bado wanamkumbuka na kumlilia ,alizaliwa Mashariki mwa ziwa Victoria katika kijiji cha Butiama ,Wilaya ya Musoma …

Read More »