Tag Archives: Hhayuma

Mhandisi Hhayuma ahaidi uchumi wa viwanda Hanang Manyara.

Na Joseph Lymo Kahama Fm Manyara. MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Hanang Mkoani Manyara kwa tiketi ya CCM, mhandisi Samwel Hhayuma amesema akichaguliwa kushika nafasi hiyo atahakikisha anafanikisha uchumi wa viwanda kwa jamii kupitia rasilimali zilizopo eneo hilo. Hhayuma aliyasema hayo jana kwenye kampeni ya kujinadi na kuomba kura kwenye …

Read More »