Tag Archives: Hatuendi Kwenye Uchaguzi Kwa Jazba – Majaliwa

Hatuendi Kwenye Uchaguzi Kwa Jazba – Majaliwa

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wasichague kiongozi kwa sababu ya jazba au hasira. Ametoa wito huo leo (Jumatatu, Oktoba 26, 2020) wakati akizungumza na wakazi wa kata ya Nalasi, wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma katika mkutano uliofanyika kwenye …

Read More »