Tag Archives: hasunga kilimo

Waziri Hasunga: Wizara ihakikishe kilimo kinasimamiwa kikamilifu

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amewaagiza watendaji Wakuu wa wizara na taasisi zake kuhakikisha wanasimamia kikamilifu uzalishaji wa mazao na upatikanaji wa masoko ya uhakika.   Ametoa kauli hiyo leo (05 .06.20200 alipofanya kikao kazi cha menejimenti iliyohusisha wakurugenzi wa wizara,bodi za mazao na wakala zilizo chini ya wizara hiyo …

Read More »