Tag Archives: Harriet Nyaiko alijikuta chumba cha maiti akidhaniwa amekufa

Harriet Nyaiko alijikuta chumba cha maiti akidhaniwa amekufa

Harriet Nyaiko alijikuta chumba cha maiti akidhaniwa amekufa ‘Niliwekwa chumba cha maiti kwa kudhaniwa kuwa mfu’ Alipokuwa na miaka 21, Harriet Nyakio anakumbuka usiku mmoja majira ya saa tisa usiku wa manane alipohisi baridi kali isiyo ya kawaida. Alipojipapasa aligundua kuwa hakuwa na mavazi. Wasiwasi ulimjaa akilini akijaribu kubaini ni …

Read More »