Tag Archives: HAMAS

Hamas yalaani mashambulizi ya Israel nchini Syria

Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amelaani mashambulizi ya makombora ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi ya Syria. Hazim Qassim amelaani mashambulizi ya jana usiku ya utawala wa Kizayuni huko Syria na kuzitaja Marekani na nchi za Kiarabu kuwa ndizo zinazoutia kiburi utawala huo …

Read More »