SERIKALI imesema imeweka mifumo imara ya kitaasisi na kisheria inayohakikiwa kuwa miradi ya maendeleo inayotekelezwa na itakayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano inaendelea kuleta manufaa endelevu kwa faida ya Watanzania wote. Hayo yamebainishwa jana Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa …
Read More »