Tag Archives: guest

Mwanamke afariki dunia baada ya kuzini na shemeji yake Gesti

Polisi jijini Nairobi nchini Kenya, wanafanya uchunguzi wa mwanamke mmoja aitwaye Jesca Sibwe mwenye umri wa miaka 42, ambaye amefariki dunia baada ya kulala nyumba ya wageni (Gesti house), usiku kucha na shemeji yake aitwaye John Kisongona Mareko. Kwa mujibu wa Tuko news, inasemekana marehemu Jesca Sibwe, ambaye anatoka Kasarani alianza …

Read More »

‘Gesti 16 zafungwa na kutozwa faini

Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, imezifungia nyumba za kulala wageni 16 zilizopo eneo la Msamvu mkoani Morogoro na kuzipiga faini ya Sh milioni moja kila moja kwa kosa la wamiliki wake kukwepa kulipa kodi.‬ Akizungumza mkoani humo Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Sheila Lukuba amesema hatua hiyo imechukuliwa baada ya zoezi …

Read More »