Tag Archives: GePG Yaokoa Mabilioni ya Fedha Yailizokuwa Yaikipotea

GePG Yaokoa Mabilioni ya Fedha Yailizokuwa Yaikipotea

Mfumo wa Kielektroniki wa Ukusanyaji wa Mapato ya Kodi, Maduhuli, Tozo na Huduma Mbalimbali za Serikali (GePG) unatajwa kusaidia kuokoa fedha nyingi za Serikali zilizokuwa zikipotea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo udanganyifu. Akizungumza jana jijini Dodoma wakati akipokea Ripoti ya Tathimini ya Mfumo wa Kielektroniki ya Ukusanyaji wa Mapato na …

Read More »