Tag Archives: George Floyd

Polisi wengine watatu washtakiwa kwa kumuua George Floyd

Mwanasheria Mkuu wa Minnesota, Keith Ellison ametangaza kuwa maafisa watatu wa Polisi waliokuwepo wakati George Floyd anakandamizwa shingoni hadi kufariki wamefunguliwa mashtaka Thomas Lane (37), J. Alexander Kueng (26) na Tou Thao (34) wameshtakiwa kusaidia mauaji ya daraja la pili. Mashtaka ya Afisa aliyemuwekea goti Floyd, Derek Chauvin yamebadilishwa na …

Read More »