Tag Archives: GARETH BALE

Gareth Bale bado anaipenda Real Madrid

Wakala wa mshambuliaji wa pembeni wa Real Madrid Gareth Bale, amesema mchezaji wake anataka aendelee kubakia klabuni hapo, na haitaji kurudi EPL. Bale amekua anahusishwa na mpango wa kurejea katika ligi ya England (EPL) huku klabu yake ya zamani Tottenham Hotspur na Manchester United zikitajwa kumuwania. Winga huyo raia wa …

Read More »