Tag Archives: Fisi

Mzee wa miaka 70 ashambuliwa na Fisi akiwa amelala usiku Kahama.

Mkazi wa kijiji cha chela katika Halmashauri ya Msalala Mkoani Shinyanga, Buluba Jilasa (70) amejeruhiwa na fisi kwa kung’atwa sehemu mbalimbali za mwili wake akiwa amelala. Akizungumza na waandishi wa habari akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Halamashauri ya Mji wa kahama Jilasa amesema tukio hilo limetokea jana usiku wakati …

Read More »