Tag Archives: fbi

FBI Yadai China ni Tishio kwa Marekani

MKURUGENZI wa shirika la FBI nchini Marekani amesema kwamba vitendo vya upelelezi na wizi unaotekelezwa na serikali ya China ni tishio la muda mrefu kwa Marekani. Akizungumza katika Taasisi ya Hudson mjini Washington, Christopher Wray alielezea kampeni ya usumbufu iliyokithiri. Alisema kwamba China imeanza kuwalenga raia wa China wanaoishi ughaibuni, …

Read More »