Tag Archives: Ethiopia yaimarisha vita dhidi ya makundi ya nzige

Ethiopia yaimarisha vita dhidi ya makundi ya nzige

Waziri wa Kilimo wa Ethiopia, Oumer Hussien, amesema ndege zaidi za kunyunyiza dawa zitapelekwa kukabiliana na makundi ya nzige wanaovamia mashamba nchini humo. Hii ni baada ya ndege za kupuliza dawa kuanguka mapema mwezi Oktoba na kurudisha nyuma jitihada za kupambana na wadudu hao waharibifu. Waziri amesema nzige katika maeneo …

Read More »