Tag Archives: ethiopia

Waziri mkuu wa Ethiopia amjibu RaisTrump

Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed akiwa ziarani nchini Afrika kusini amejibu kuhusiana na madai ya RaisTrump wa Marekani kwamba yeye Rais Trump ndiye aliyestahiki kupata tuzo ya Nobel. Abiy alisema kuwaambia wanahabari waliomuuliza juu ya suala hilo, “Rais Trump alipaswa awalalamikie waandaaji wa tuzo za Nobel”. Aliongeza kwamba Rais wa …

Read More »