Tag Archives: Elimu

Elimu Ni Muhimu Kudhibiti Sumukuvu Nchini

Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya Kilimo wamekutana kupitia rasimu ya Mkakati wa Kitaifa wa Mawasiliano ya kudhibiti sumukuvu ili kuwezesha jitihada za kukabililiana na tatizo hilo miongoni wananchi, hususan wakulima wa mazao. Akizungumza kwenye mkutano huo, mjini Morogoro (16.06.2020) Kaimu Mkurugenzi wa Usalama wa …

Read More »