Tag Archives: dudu baya

Dudu Baya Aitwa Tena Kuhojiwa BASATA

Baraza la sanaa Taifa (Basata)  limemuandikia barua  mwimbaji maarufu nchini, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’ kumuita ili kwenda kujieleza  kutokana na kutumia lugha isiyo ya staha kwenye mitandao ya kijamii. Dudubaya anatakiwa kuripoti keshokutwa Jumanne kwenye ofisi za makao makuu ya Baraza hilo. Mwimbaji huyo ameiposti barua hiyo kupitia akaunti yake ya …

Read More »

Msanii Dudubaya Aitwa BASATA

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limemtaka msanii wa Bongo Fleva Tumaini Godfrey maarufu Dudubaya kufika katika ofisi za baraza hilo kesho Januari 7, kwa mahojiano zaidi baada ya kusambaa kipande cha video kikimuonesha akitoa kauli zisizokuwa na maadili.

Read More »