Tag Archives: Dr shika

Dkt Louis Shika “900 itapendeza”, afariki dunia

Habari kutoka kijiji cha Nyanguge Wilayani Magu Mkoani Mwanza zimethibitisha kufariki kwa Dkt Louis Shika ambaye alijipatia umaarufu mitandaoni baada ya kutangaza kutaka kununua nyumba za mnada huko Kigamboni kwa Shilingi Milioni 900. Ndugu wa karibu wa marehemu¬† amesema ni kweli Dkt Shika alilazwa Katika Kituo cha Afya Nyanguge wilaya …

Read More »