Tag Archives: Dr Mwinyi Aahidi Neema Kwa Wajane

Dr Mwinyi Aahidi Neema Kwa Wajane

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi, amekutana na Jumuiya ya Wanawake Wajane na kuahidi kuwatambua kwa kuwaingiza katika mfuko wa hifadhi ya jamii na kupata mikopo itakayowasaidia kujikwamua kimaisha na kupata maendeleo ya kiuchumi. Akizungumza na wanawake hao mjini Unguja jana, Dk Mwinyi alisema …

Read More »