Tag Archives: DoneDEAL: Matteo atua Hertha Berlin

DoneDEAL: Matteo atua Hertha Berlin

Club ya Hertha Berlin ya Ujerumani imemsajulili kwa mkopo Matteo Guendouzi kutokea club ya Arsenal ya England kwa kipindi cha msimu mzima. Arsenal wamemuachia Matteo ili aende Hertha Berlin akakomae zaidi kiuwezo, wakati huu akiwa bado kinda mwenye umri wa miaka 21. Matteo ni mchezaji aliyelelewa katika vilabu vya vijana …

Read More »