Tag Archives: DODOMA

Mvua zinazoendelea kunyesha zaacha watu 1,000 bila makazi Dodoma

Zaidi ya watu 1,000 wamekosa makazi, baada ya nyumba 237 kubomolewa na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Dodoma. Wakazi walioathirika kutokana na mvua hizo ni wa Wilaya ya Bahi, huku miundombinu ya barabara ikiharibiwa. Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Mwanahamisi Munkunda, alipokuwa akizungumza jana, baada ya ziara ya kukagua …

Read More »

Ujenzi holela Dodoma wazuia msafara wa waziri Lukuvi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Tanzania, William Lukuvi amezuia ujenzi usio na vibali katika maeneo yanayozunguka mji wa Dodoma. Lukuvi ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Januari 11,2020 wakati akienda kwenye mkutano wa hadhara Mtaa wa Ndachi Kata ya Mnadani jijini Dodoma. Waziri amefikia hatua hiyo baada …

Read More »

Ujenzi Wa Majengo Ya Utawala Kuongeza Tija Utoaji Huduma Tamisemi

UTAWALA bora ni nyenzo muhimu katika kuharakisha maendeleo endelevu ya nchi kwa kuzingatia misingi ya sheria, uwazi na uwajibikaji ili kutoa huduma bora kwa wananchi. Ofisi ya Rais-TAMISEMI inasimamia utekelezaji wa shughuli za utawala bora kwa kuzingatia matakwa ya  Ibara  ya  146(1)  ya  Katiba  ya  Jamhuri  ya  Muungano  wa  Tanzania  …

Read More »