Tag Archives: Dkt. Mpango Acharuka: Aagiza Watumishi 22 TRA Wasimamishwe Kazi

Dkt. Mpango Acharuka: Aagiza Watumishi 22 TRA Wasimamishwe Kazi

WAZIRI wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, amemwagiza Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, Dkt. Edwin Mhede kuwasimamisha kazi watumishi 22 wa Mamlaka hiyo wakiwemo baadhi ya Maneja wa TRA wa Mikoa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili za kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa kujihusha …

Read More »