Tag Archives: Dkt. Magufuli na Dkt. Mwinyi kuapishwa wiki ijayo

Dkt. Magufuli na Dkt. Mwinyi kuapishwa wiki ijayo

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema shughuli ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi na Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano, Dkt. John Magufuli zitafanyika wiki ijayo. Akizungumza na waandishi wa habari …

Read More »