Tag Archives: Dkt. Magufuli kuapisha leo kuwa rais kwa awamu ya pili

Dkt. Magufuli kuapisha leo kuwa rais kwa awamu ya pili

Rais Magufuli ameibuka kidedea katika uchaguzi mkuu ukiofanyika wiki iliyopita na kujizolea ushindi wa asilimia 84.4 na kuwashinda wapinzani wake 14 kutoka vyama mbalimbali vya upinzani. Kwa mara ya kwanza jiji la Dodoma linashuhudia kufanyika kwa sherehe za kuapishwa kwa rais. Kuanzia saa kumi na mbili asubuhi milango ya uwanja …

Read More »