Tag Archives: Dhoruba yaathiri maelfu nchini Mexico

Dhoruba yaathiri maelfu nchini Mexico

Dhoruba ya kitropiki ya Gamma, ambayo imeathiri sehemu za kusini mashariki mwa Mexico, imeua watu 6 na kuhamisha maelfu ya watu. Maafisa wamesema kuwa dhoruba ya kitropiki imeathiri mwambao wa Peninsula ya Yucatan na majimbo ya Tabasco na Chiapas kwa upepo mkali na mvua. Katika taarifa iliyotolewa na wakala wa …

Read More »