Tag Archives: DC Mteule Atakiwa Kukomosha Mauaji Wilayani Nzega adv1

DC Mteule Atakiwa Kukomosha Mauaji Wilayani Nzega adv1

MKUU wa Mkoa wa Tabora Dkt. Philemon Sengati amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Nzega Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) Advera Bulimba kuhakikisha anakomesha vitendo vya mauaji vinavyotokana na wananchi kujichukulia Sheria mikononi. Ametoa agizo hilo jana mara baada ya kumuapisha Mkuu huyo mpya wa Wilaya ya Nzega anayekwenda kushika nafasi …

Read More »