Tag Archives: DC Hanang aweka jiwe la Msingi Ukumbi wa Shule ya Sekondari BAMA

DC Hanang aweka jiwe la Msingi Ukumbi wa Shule ya Sekondari BAMA

Mkuu wa wilaya ya Hanang’ Ghaibu Lingo ameweka jiwe la Msingi katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Bama, unaoendelea kujengwa kwenye shule hiyo iliyopo Kijiji cha Lamay mkoani Manyara. Zaidi ya Shilingi Milioni 200 zinatarajiwa kutumika Mpaka kukamilika Kwa ukumbi huo ambao utakuwa unatumiwa na wanafunzi katika shughuli mbali mbali …

Read More »