Tag Archives: DAVID KISSU WA AZAM FC AWEKA REKODI YAKE BONGO

DAVID KISSU WA AZAM FC AWEKA REKODI YAKE BONGO

DAVID Kissu Mapigano kipa namba moja wa Azam FC ameweka rekodi ya kuwa kinara wa clean sheet ndani ya Ligi Kuu Bara Bara msimu wa 2020/21 akitumia dakika 540 bila kuruhusu kufungwa na kumpoteza Daniel Mgore kipa wa Biashara United. Kissu ambaye ni ingizo jipya kutoka Klabu ya Gormahia ya …

Read More »